Ufafanuzi wa bomla katika Kiswahili

bomla

nominoPlural bomla

  • 1

    mnyama kama mjusi mkubwa mwenye miguu mirefu na mkia mrefu.

    kenge, mburukenge, uru

Matamshi

bomla

/bɔmla/