Ufafanuzi wa bomoka katika Kiswahili

bomoka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka

  • 1

    kuvurugika kwa kitu kilichojengwa k.v. ukuta.

Matamshi

bomoka

/bɔmɔka/