Ufafanuzi wa bomoko katika Kiswahili

bomoko

nominoPlural mabomoko

  • 1

    sehemu iliyobomoka.

  • 2

    salio la nyumba au mji uliobomoka.

    gofu

Matamshi

bomoko

/bɔmɔkɔ/