Ufafanuzi wa bonde la ufa katika Kiswahili

bonde la ufa

  • 1

    bonde kubwa lenye pande zilizo na mwinuko mkali ambalo kudidimia kwake kulitokana na mtitio wa ardhi.