Ufafanuzi wa bong’oa katika Kiswahili

bong’oa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lesha, ~lewa

  • 1

    inama mpaka kichwa kikawa chini na kiuno juu.

    furama

Matamshi

bong’oa

/bɔŋɔwa/