Ufafanuzi wa bonge katika Kiswahili

bonge

nominoPlural mabonge

 • 1

  kitu kilichoviringana pamoja, agh. kilicho duara.

  donge, fumba, tufe

 • 2

  kitu au mtu mkubwa.

  ‘Bonge la mtu’
  ‘Bonge la kazi’

Matamshi

bonge

/bɔngɛ/