Ufafanuzi wa bongo katika Kiswahili

bongo, ubongo

nominoPlural mabongo

 • 1

  bonge laini la nyamanyama lenye mishipa ya fahamu lililomo kichwani.

 • 2

  kitu tepetepe kama shahamu iliyomo mifupani.

  uboho

 • 3

  kidogori, werevu, akili

Matamshi

bongo

/bɔngɔ/