Ufafanuzi wa bonyea katika Kiswahili

bonyea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~za

  • 1

    kunjika au ingia bonde kwa kugongwa au kukandamizwa k.v. debe, bati, n.k..

  • 2

    seteka

Matamshi

bonyea

/bɔɲɛja/