Ufafanuzi msingi wa bopa katika Kiswahili

: bopa1bopa2bopa3

bopa1

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  tomasa kitu laini k.v. tunda bivu au jipu.

  bofya, bonyeza

Matamshi

bopa

/bɔpa/

Ufafanuzi msingi wa bopa katika Kiswahili

: bopa1bopa2bopa3

bopa2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  kuwa laini au nyororo wakati wa kugusa.

Matamshi

bopa

/bɔpa/

Ufafanuzi msingi wa bopa katika Kiswahili

: bopa1bopa2bopa3

bopa3

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  didimia k.v. mashavu ya uso yanavyoingia ndani.

Matamshi

bopa

/bɔpa/