Ufafanuzi wa bora katika Kiswahili

bora

kivumishi

  • 1

    -a kufaa zaidi; -enye thamani; -enye maana.

    ‘Nguo bora’
    falau, afadhali, azizi, zuri, heri, aula, asili

Asili

Kar

Matamshi

bora

/bɔra/