Ufafanuzi wa boresha katika Kiswahili

boresha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa bora zaidi.

Matamshi

boresha

/bɔrɛ∫a/