Ufafanuzi wa boromali katika Kiswahili

boromali

nomino

  • 1

    samaki jamii ya chewa.

Matamshi

boromali

/bɔrɔmali/