Ufafanuzi wa bosa katika Kiswahili

bosa

nominoPlural bosa

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba inayofungwa katika nanga ili kuiweka mahali pake melini.

Matamshi

bosa

/bɔsa/