Ufafanuzi wa boshoa katika Kiswahili

boshoa

kitenzi elekezi

  • 1

    kata vipandevipande.

    chana, rarua, nyanyua

Matamshi

boshoa

/bɔ∫ɔwa/