Ufafanuzi wa boya katika Kiswahili

boya

nominoPlural maboya

  • 1

    dude la duara, agh. la rangi inayong’aa, linaloelea majini na hutumika kwa kufungia meli au mashua au kuonyesha njia ya kupitia meli wakati inapoanza kuingia bandarini.

    kioleza, chelezo

  • 2

    tufe lenye kishikizo ambalo huwekwa ndani ya tangi la maji ili kudhibiti ujazo.

Asili

Kng

Matamshi

boya

/bɔja/