Ufafanuzi wa boya okozi katika Kiswahili

boya okozi

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumika kwenye chombo cha majini ili kuokoa maisha kwa kufanya kitu kielee.

Asili

Kng

Matamshi

boya okozi

/bɔja okozi/