Ufafanuzi wa bozi katika Kiswahili

bozi, bozibozi

nominoPlural mabozi

  • 1

    mtu anayezubaazubaa au anayeduwaaduwaa.

    mpumbavu, bahau, bakunja, bwege, fala, zebe, juha, gulagula

Matamshi

bozi

/bɔzi/