Ufafanuzi wa braketi katika Kiswahili

braketi

nomino

  • 1

    alama za kubana au kutenga herufi, neno au kifungu cha maneno katika maandishi ‘( )’.

    parandesi, mabano

Asili

Kng

Matamshi

braketi

/brakɛti/