Ufafanuzi wa breli katika Kiswahili

breli

nomino

  • 1

    mfumo wa maandishi ya watu wenye ulemavu wa macho ambayo huyasoma kwa kuyagusa kwa vidole.

Asili

Kng

Matamshi

breli

/brɛli/