Ufafanuzi wa brigedi katika Kiswahili

brigedi

nominoPlural brigedi

  • 1

    kikosi cha jeshi chenye askari wapatao 5,000.

Asili

Kng

Matamshi

brigedi

/brigɛdi/