Ufafanuzi wa brokoli katika Kiswahili

brokoli

nominoPlural brokoli

  • 1

    mboga ya majani ambayo hufunga vikonyo vya duara na ambavyo ndivyo hupikwa na kuliwa.

Asili

Kng

Matamshi

brokoli

/brɔkɔli/