Ufafanuzi wa buba katika Kiswahili

buba

nomino

  • 1

    ugonjwa ambao husababisha kufanya mitembo nyayoni na vidonda vibaya.

    firanji

Matamshi

buba

/buba/