Ufafanuzi wa bubu katika Kiswahili

bubu, bubwi

nomino

  • 1

    mtu asiyeweza kusema, agh. kutokana na uziwi.

  • 2

    mtu asiyependa kusema.

Matamshi

bubu

/bubu/