Ufafanuzi wa bubujika katika Kiswahili

bubujika

kitenzi elekezi~ia, ~wa

 • 1

  (maji au machozi) kutoka kwa nguvu kutoka kwenye chemchemi au machoni.

  buguika, foka

 • 2

  (ms) sema maneno mengi yasiyo na maana.

 • 3

  ropoka, payuka, bwabwaja, foka

Matamshi

bubujika

/bubuʄika/