Ufafanuzi wa buburusha katika Kiswahili

buburusha

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta au sukuma kitu, agh. kizito.

Matamshi

buburusha

/buburuāˆ«a/