Ufafanuzi wa buda katika Kiswahili

buda

nominoPlural mabuda

 • 1

  mwanamume mzee sana.

  shaibu

 • 2

  mtu asiye na meno.

  kibogoyo, mhangi

 • 3

  ndovu mzee asiyekuwa na pembe.

 • 4

  ndovu anayezaliwa bila ya kuota pembe.

Matamshi

buda

/buda/