Ufafanuzi msingi wa budaa katika Kiswahili

: budaa1budaa2

budaa1

nominoPlural mabudaa

  • 1

    bonge la unga ambalo halikuchanganyika wakati wa kukoroga uji au kusonga ugali.

    mavumbo, matu

Matamshi

budaa

/buda:/

Ufafanuzi msingi wa budaa katika Kiswahili

: budaa1budaa2

budaa2

kitenzi elekezi~ika, ~isha, ~lia, ~liana, ~liwa

  • 1

    fanya mabonge ya unga usiochanganyika na maji vizuri.

Matamshi

budaa

/buda:/