Ufafanuzi wa bufee katika Kiswahili

bufee, bufeti

nominoPlural bufee

  • 1

    aina ya vyakula mbalimbali vilivyopikwa na vinavyoliwa kwa pamoja na kikundi cha watu wanaochagua wakitakacho.

Asili

Kng

Matamshi

bufee

/bufɛ:/