Ufafanuzi msingi wa bugi katika Kiswahili

: bugi1bugi2

bugi1

nominoPlural bugi

  • 1

    uganga unaodhaniwa kuwa hutumiwa na wezi kuwafanya watu nyumbani walale usingizi au kuufanya mlango ufunguke.

Matamshi

bugi

/bugi/

Ufafanuzi msingi wa bugi katika Kiswahili

: bugi1bugi2

bugi2

nominoPlural bugi

  • 1

    ngoma ya Wakwere inayochezwa Uswahilini.

Matamshi

bugi

/bugi/