Ufafanuzi wa bugia katika Kiswahili

bugia

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~sha, ~za, ~wa

  • 1

    tia chakula kingi, agh. cha ungaunga, mdomoni kwa haraka.

  • 2

    bwakia, akia, bwia

Matamshi

bugia

/bugija/