Ufafanuzi wa buheri katika Kiswahili

buheri

kielezi

  • 1

    kwa heri tupu; kwa wema.

    ‘Buheri wa afya’

Asili

Kar

Matamshi

buheri

/buhɛri/