Ufafanuzi msingi wa bui katika Kiswahili

: bui1bui2bui3

bui1

nomino

  • 1

    buibui mkubwa.

Matamshi

bui

/buji/

Ufafanuzi msingi wa bui katika Kiswahili

: bui1bui2bui3

bui2

nomino

  • 1

    mchezo wa watoto wa kumfunga macho mtoto mmoja na kisha kutakiwa awatafute wenziwe.

    buye, kizuizui, foliti

Matamshi

bui

/buji/

Ufafanuzi msingi wa bui katika Kiswahili

: bui1bui2bui3

bui3

nomino

Matamshi

bui

/buji/