Ufafanuzi wa bukta katika Kiswahili

bukta

nominoPlural bukta

  • 1

    kaptura ya kitambaa laini inayofungwa kwa mkuruzo au plastiki, agh. huvaliwa na wanamichezo.

Asili

Kng

Matamshi

bukta

/bukta/