Ufafanuzi msingi wa buku katika Kiswahili

: buku1buku2

buku1 , panyabuku

nominoPlural mabuku

  • 1

    panya mkubwa na mwenye mkia kama ndezi.

    puku

Matamshi

buku

/buku/

Ufafanuzi msingi wa buku katika Kiswahili

: buku1buku2

buku2

nominoPlural mabuku

  • 1

    kitabu kilichopigwa chapa.

Asili

Kng

Matamshi

buku

/buku/