Ufafanuzi wa bulina katika Kiswahili

bulina

nomino

  • 1

    sehemu ya mbele ya chombo cha baharini.

Matamshi

bulina

/bulina/