Ufafanuzi wa buluu katika Kiswahili

buluu, bluu

nominoPlural buluu

  • 1

    rangi ya samawati.

    nili

  • 2

    dawa inayotumiwa kung’arisha nguo nyeupe baada ya kufuliwa.

Asili

Kng

Matamshi

buluu

/bulu:/