Ufafanuzi wa bumba la nyuki katika Kiswahili

bumba la nyuki

  • 1

    kikundi cha nyuki waliosongamana na kushikana sana.