Ufafanuzi wa bumbwi katika Kiswahili

bumbwi, bwimbwi

nomino

  • 1

    unga wa mchele ulioumuliwa na kutiwa sukari, machicha ya nazi na maji kidogo au tui.

    kigodo