Ufafanuzi wa bumia katika Kiswahili

bumia

nominoPlural bumia

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kipande cha ubao kilichomo jahazini kinachofungwa kwenye mkuku na kubeba fashini.

Asili

Kaj

Matamshi

bumia

/bumija/