Ufafanuzi wa bundi katika Kiswahili

bundi

nominoPlural bundi

  • 1

    ndege mkubwa arukaye usiku tu na mwenye macho makubwa yanayomwezesha kuona gizani, hudhaniwa kuwa ni ndege mwenye kuleta kisirani au msiba.

    bumu, babewana, babewatoto

Matamshi

bundi

/bundi/