Ufafanuzi msingi wa bunga katika Kiswahili

: bunga1bunga2

bunga1

nominoPlural bunga

  • 1

    mtu asiyeelewa mambo; mtu mpumbavu anayeonewa ovyo.

    zuzu

Matamshi

bunga

/bunga/

Ufafanuzi msingi wa bunga katika Kiswahili

: bunga1bunga2

bunga2

kivumishi

  • 1

    -pumbavu

Matamshi

bunga

/bunga/