Ufafanuzi msingi wa bungo katika Kiswahili

: bungo1bungo2bungo3

bungo1

nominoPlural mabungo, Plural bungo

  • 1

    tunda la mbungo lenye ganda nene na laini na lenye konde nyingi.

Ufafanuzi msingi wa bungo katika Kiswahili

: bungo1bungo2bungo3

bungo2

nominoPlural mabungo, Plural bungo

  • 1

    mdudu mwenye miguu mirefu na kiuno chembamba sana anayejenga nyumba yake kwa udongo wa tope na wakati mwingine hupenda kuishi katika matundu ya miti au nguzo za nyumba.

Ufafanuzi msingi wa bungo katika Kiswahili

: bungo1bungo2bungo3

bungo3

nominoPlural mabungo, Plural bungo

  • 1

    chombo kama bakuli dogo.

Matamshi

bungo

/bungɔ/