Ufafanuzi wa bungu katika Kiswahili

bungu, bunju

nominoPlural bungu

  • 1

    samaki wa baharini wa kahawia anayejifurisha, mwenye sumu ambayo huondoka akisafishwa vizuri.

Matamshi

bungu

/bungu/