Ufafanuzi msingi wa buni katika Kiswahili

: buni1buni2

buni1

nominoPlural buni

 • 1

  tunda au mbegu ya mbuni au mkahawa.

Asili

Kar

Matamshi

buni

/buni/

Ufafanuzi msingi wa buni katika Kiswahili

: buni1buni2

buni2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tengeneza kitu kwa mara ya kwanza.

  vumbua

 • 2

  zua au tunga jambo k.v. hadithi.

  ‘Hadithi za kubuni’
  ‘Buni maneno’

 • 3

  unda chombo cha majini.

Asili

Kar

Matamshi

buni

/buni/