Ufafanuzi wa bunta katika Kiswahili

bunta

nominoPlural mabunta

 • 1

  mahali pa kuteremshia abiria au mizigo forodhani.

  gati

 • 2

  kiwanda kilichopo pwani cha kuundia chombo.

 • 3

  kibango

Matamshi

bunta

/bunta/