Ufafanuzi wa bupu katika Kiswahili

bupu

nominoPlural mabupu

  • 1

    kitu kama fuu au kifuu chenye uwazi ndani.

    ‘Bupu la kichwa’
    ‘Bupu la nazi’

Matamshi

bupu

/bupu/