Ufafanuzi msingi wa bura katika Kiswahili

: bura1bura2

bura1

nomino

  • 1

    aina mojawapo ya kitambaa kinachotoka Maskati.

    kitambi, kitambaa

Asili

Kar

Matamshi

bura

/bura/

Ufafanuzi msingi wa bura katika Kiswahili

: bura1bura2

bura2

kitenzi sielekezi

  • 1

    chemka kama vile pombe ifanyavyo wakati inapoiva.

Matamshi

bura

/bura/