Ufafanuzi wa burai katika Kiswahili

burai

kitenzi sielekezi~ika, ~isha, ~lia

  • 1

    samehe deni au mahari.

    bihi, feleti

Matamshi

burai

/buraI/