Ufafanuzi wa bure ghali katika Kiswahili

bure ghali

msemo

  • 1

    kitu kinachopatikana bila jasho baadaye hugharimu zaidi.