Ufafanuzi wa buriani katika Kiswahili

buriani

nominoPlural buriani

 • 1

  maagano ya kuachana kwa muda mrefu.

  ‘Kumpa rafiki buriani’

 • 2

  msamaha watu wanaoombana na kupeana wakati wa kuagana.

  ‘Peana buriani’
  ‘Agana buriani’
  msamaha, radhi

Matamshi

buriani

/burijani/